19 février 2008
« Peopleisation » : ugonjwa mpya wa waandishi wa habari
« Peopleisation » ni neno jipya nchini Ufaransa. Limebuniwa kutoka neno la Kiingereza « people » miongoni mwa miaka 2000, na maana yake ni kujulisha maisha yasiyo rasmi ya watu wasio nyota. Inaonekana kwamba ni ugonjwa mpya wa waandishi wa habari. Dhana...